Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo ambapo wanachama wamempigia kura Mwenyekiti na makamu wake wawili
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na  viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipozi na  viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
 Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK  Mariamu Mungula
 Ankal akila taswirazzzzz na wana Diaspora Kizota

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kambarage ndugu yangu na wewe pia mwana CCM mkoa wa diaspora? haya kaka ndugu yako hapa tangu kiungani, kwa njeka.

    ReplyDelete
  2. Kwa nini HARUNA MBEYU hakupewa kiti cha kukaa?

    This is unfair na hasa toka kwa wajumbe wengine wa CCM wanaomfaham

    Sasa matokeo ya hii safari ni yepi?


    ReplyDelete
  3. kamabarage hii lini tena mwana? duh haya ila mzeee katia fora ndani mle so fuata nyayo bwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...