Home
Unlabelled
ajali kazini..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli Ankali umefanya busara sana kutoa taarifa ya kuwa hawa jamaa na baiskeli yao na magunia mawili yao wapo Kijijini kabisa ndio kwanza wanatafuta kuelekea Mujini!!!
ReplyDeleteHii itasaidia kuonyesha kuwa Bongo ni Tambarale hakuna shida kivile, ila ni changamoto za kimaisha za kawaida tu ili wandugu zetu Majuu na Madiaspora wasivunjike moyo angalua kuja TZ!
Majuu msije mkafikiri kila mtu hapa Bongo Tambarale kazi yake ni hiyo na ndio labda mtindo wa maisha kwa kila Mwananchi!, ama kuna shida kwa kutazama jamaa wakipigania ugali wao na baiskeli hiyo Kijijini huku wakiwa na gunia mbili za mkaa lumbesa, la hasha!
ReplyDeleteMaisha yamegawanyika hao jamaa wanajituma kama sehemu ya maisha tu, wala tusiseme Bongo kuna shida kwa sana hapana!, shida hiyo BONGO TAMBARALE KWA JAMAA HAO KUKOKOTA BAISKELI ILI WAWEZE KUPATA UGALI, NI SAWA NA SHIDA ILE ILE UNAYOIPATA WEWE UKIKESHA KUBEBA MABOX MAJUU!!!
UWEPO BONGO ,UWE MAJUU MAISHA YEYOTE HAYAKOSI CHANGAMOTO!
KWA NINI TUCHEKANE?
Ukisikia kula kwa nyundo ndio hapa!
ReplyDeleteTokea lini urijali wa mwanamume ukapimwa kwa kula?, uwanaume hupimwa kwa busara na juhudi katika kazi!
Mjini tabu!
ReplyDeletePamoja na changamoto hiyo, bora maisha ya Kijijini!
Hapo wanaume,
ReplyDeletewanatafakari,,,kutokea hapa tulipo Kijijini Nandonde ni KM 79 kufika Kijiji cha Mpitimbi!
Muda wa msafara huo ni masaa 13 kwa basikeli wakati hivi sasa ni saa 8:30 Mchana!
Huku basikeli ikiwa na pancha iko chali!
Wanajiuliza Je, wanaume tufanyeje???
Maisha ya shamba mnhhh,
ReplyDeleteInataka moyo!
Hebu tizameni vidume wana gunia ndio kwanza liko nchi labda baisikeli ni mbovu,
Pia kwa mshangao walioutoa inaonyesha pana umbali mkubwa kabisa kufika Kijiji cha karibu au mji mwingine mbele!
Hapo ndio utajua kuwa uwanaume si mchezo na hasa ukichaguliwa kuwa mtu wa Kijijini!!!
Kwa mtaji huu Umachinga kweli utakwisha Mijini na watu watashawishika kurudi vijijini?
Hali kama hii ya mshangao huku wakiwa njia panda ndio sehemu ya kumpima mtu 'UJASIRI' wake!
ReplyDeleteKwa mtu goi goi anaanza kulia badala ya kukaza kamba ili kukabiliana na hali iliyopo mbele yao!
Hali ngumu kweli jamani si tu wamechoka kwa kusukuma hayo magunia ya mkaa bali kwa kufikiri ni lini watayauza ili waweze kujikimu vyote hivyo vimechangia uchovu wao.
ReplyDelete