Dkt.. Richard Rwechungura, amehitimu masomo tar.11.12.2012, shahada ya uzamivu katika uhandisi wa mafuta na gesi ya asili, yaani PhD in Petroleum Engineering katika chuo cha Norwegian University of Science and Technology (NTNU) kilichopo katika mji wa Trondheim nchini Norway.
Dr. Richard Rwechungura baada ya kumaliza
presentation yake
Dr. na Mama Rwechungura wakipongezwa na
wapendwa waTz waishio Trondheim baada ya Ibada ya kumshukuru Mungu .
Hongera sana kwa Mtazamo wako, Unaona mbali.
ReplyDeleteOil and Gas Degrees are way to go for Tanzania.
Welcome Home soon.
Hongera sana. Nategemea utakuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko kwenye sekta ya gesi na mafuta bila kumumunya maneno hili Tz tufaidike na hizi rasilimali zetu.
ReplyDeleteHongera Dr.Richard Rwechungura,
ReplyDeleteHalafu Jrani zetu Kenya wanasema ,ohhh tunataka tuje tuwasaidie ndugu zetu wa-Tanzania ktk kazi za Mafuta na Gesi wakati akina Dr.Richard Rwechungura na wengine wana wa Tanzania wanahitimu huko Norway!
Kenya banduguuu, acheni undugu wa kinafiki na sisi, kwa nini msisomee Taaluam ya Magadi Chumvi na Chai ili mfanye kazi huko kwenu ?