Ile Double celebration ya kusheherekea uhuru wa Tanzania na Kenya iliyofanyika Luton Uingereza jana tarehe 15/12/12 na Kuandaliwa na Luton Tanzanian Community kwa kushirikiana na Kenyan Community ilikuwa ya kufana na kupendeza sana. Kulikuwa na ukataji keki ya independence uliofanywa na Mwenyekiti wa Luton Tanzanian Community Bw. John Mbwete kwa kushirikiana na katibu wake Bw. Abraham Sangiwa. 
Mambo yalikuwa safi na palikuwa na burudani ya kila aina na genuine east African cousine na vinywaji aina zote maana yake palikuwa hapatoshi. Umoja, amani, Upendo, Utani na Undugu ndivyo vilivyotawala katika shamrashamra hizi ambapo pia ndugu zetu wengi toka Uganda pia walijitokeza na kuahidi ushirikiano katika kudumisha Umoja wetu kama wana east Africa katika katika maeneo mbalimabali yanayotugusa pamoja.
wadau
Ukataji wa keki
MaDJ kazini
Palikuwa hapatoshi
wadau kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...