Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana (katikati) akikata utepe kuzindua wa maonyesho ya Nyumba yaliyoanza rasmi leo katika eneo la maegesho ya magari,Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana akiangalia buti za askari kwenye banda la kampuni ya Open Sanit ambao wanatengeneza vifaa hivyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho yaliyoanza leo katika eneo la maegesho ya magari,Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Askari Revokatus Mwanandeje akichagua buti za askari kwenye banda la kampuni ya Open Sanit ambao ni watengenezaji wa vifaa hivyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya Nyumba yaliyoanza leo katika eneo la maegesho ya magari,Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Biashara wa kampuni hiyo Denis Mazula.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...