Sarita akiwa anawakaribisha rafiki zake waliohudhuria katika hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake. hafla hiyo ilifanyika nyumbani Kwao Kijitonyama jijini Dar es sdalaam.
Sarita Swaleh akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
 Akimimina Shampeni tayari kwa kuwapa rafiki zake kipenzi waliohudhuria hafla fupi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
 Sarita Akimlisha Keki mmoja wa Wadogo zake 
Sarita Akimlisha Keki Mmoja wa Rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake hapo jana nyumbani kwao
Muda wa Maakuli sasa kila Kitu kilikuwa Kujisevia
Keki kwa Shampeni ikiwa ndani ya eneo la tukio hapo jana usiku wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Sarita Swalehe
Hapo Vinywaji kwanza vikitembea
Baadhi ya marafiki waliohudhuria hafla hiyo jana usiku iliyofanyika nyumbani kwao Kijitonyama
Sarita Swaleh akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya rafiki zake waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika Jana nyumbani kwao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Sarita hongera sana upendezaa sana,ukipata nafasi uwe unapitia kwenye gym pia.

    ReplyDelete
  2. kama ni muislam mkumbuke muumba wako na fikiria maisha baada ya kufa.tunakokwenda kugumu bibie

    ReplyDelete
  3. ALINGANIWE

    ReplyDelete
  4. Tafadhali Michuzi nataka contact za Mzee Swalehe nipo UK na tayari nimepata "indefinate leave to remain".

    ReplyDelete
  5. Umependeza ila jitahidi na ibada umri.ndo unaenda hivo.
    Happy birthday

    ReplyDelete
  6. afadhali Michuzi nataka contact za Mzee Swalehe nipo UK na tayari nimepata "indefinate leave to remain".

    UPO JUU MAANA NDO LENGO LAKE

    ReplyDelete
  7. Binti Sarita mvua ishirini? au Ishirini na moja, na huyo mwali menye nyeusi na kola ya manjano, huo usafiri mweeeeee!

    ReplyDelete
  8. KWANI UKIPATA INDEFINATE LEAVE TO REMAIN NDIYO UNATAMBA?USISAHAU WEWE NI MTUMWA MBEBA BOX HUNA RAHA YOYOTE,UKITAKA RAHA RUDI BONGO.

    ReplyDelete
  9. Hongera sanaa,mdau wa kwanza hapo juu umesema ukweli,yaani huyu dada ni bomba kishenzi,lakini mapaja utadhani magogo?kafanye mazoezi mwanangu dooo.mdau CHATHAM UK.

    ReplyDelete
  10. Embu kwanza mwacheni binti sarita na mashoga zake, kisa gani kuwapiga dongo la macho, eti miguu kama magogo! nyie kizazi kipya hamna nyimbo nyie, mnataka binti awe na miguu kama sindano vile, au kama nyigu (do u know what a nyigu is?), binti mzuri, usafiri mzuri, hana ngoko, na anaonekana pia zina chaji, usiwasikilize washambenga binti we sepa kivyako tu.

    ReplyDelete
  11. Bibi Sarita Swaleh,

    Achana na huyo jamaa anonymous wa Sun Dec 23, 06:38:00 PM 2012 (indefinite leave to remain in the UK),,,atakupa shida na karaha za maisha bureee huko Ughaibuni,,,yeye mwenyewe amekalia kuti kavu (HANA UHAKIKA NA MAISHA YAKE , HATI HATI===indefinite leave to remain in the UK===) sikatai anaweza kuwa na maisha yake lakini wengi wa huko UK ni WABEBA MABOX ATAKUWA NA MANUNDU MGONGONI, KIFUA KAMA TONGWA NA VIGIMBI KAMA KIJEBA!

    Mimi nipo hapa hapa Tanzania nina:

    1-Genge langu la bamia na dagaa linalozungusha faida vizuri hapa Dar.

    2-Nina viwanja vyangu Goba na Kimbiji vina Hati miliki.

    3-Nina tenda zangu mbili tatu ktk makampuni ba mashirika hapa Tanzania kugawa huduma na bidhaa.

    4-Nina mali na amana kadhaa zisizo ondosheka.

    5-Nina Akaunti zangu za Benki kadhaa zina akiba ya kutosha kutumia wewe na mimi.

    KARIBU BIBIE NIKUENZI KIMAISHA, NIKUPE RAHA, NIKULEE KTK MAADILI MEMA ILI UFANIKIWE DUNIANI NA AKHERA, KARIBU KWENYE MIKONO YANGU NIKUPEKEE KWA UPENDO, IKIWEZEKANA BIRTH DAY YAKO IJAYO 2013 INSHALLAH NITAKUPELEKA DUBAI AU HUKO HUKO UINGEREZA ALIPO HUYO JAMAA (Mdau Anony wa Sun Dec 23, 06:38:00 PM 2012 )ATATUONA TUTAFIKIA HOTELINI TUTAWAALIKA WAO YEYE NA WATANZANIA WENGINE NA WAKAZI WA HUKO KUJA KWENYE PATI YETU TUKIMALIZA TUTAWAAGA TUTARUDI NYUMBANI TANZANIA!

    ReplyDelete
  12. Wabongo bwana!
    yan lazima kwenye kizuri mtu ataftie kasoro kama anatafuta pesa. Penye sifa toa bwana kama huna jipya pita kimyakimya sio lazima ucomment,sio chakula hiki.

    ReplyDelete
  13. WEWE ANON WA CHATHAM, DEC 23 08:53:00 PM

    THIS IS NOT AN EXHIBITION OF BREADSTICKS, THESE ARE AFRICAN BEAUTIES, HAVING A GOOD TIME PRIVATELY, IF YOU HAVE NOTHING TO COMMENT JUST SURF BY AND PROCEED TO CHECK OUT PINOCCHIOS.

    ReplyDelete
  14. HONGERAA SANAAA,ILA WANAOKUDANGANYA KUWA UNA USAFIRI MZURI,WANAKUFUNGIA MACHO.WEWE MZURI SANA,ILA PUNGUZA MWILI KIDOGO UTAZIDI KUWA MREMBO.MASEBO.

    ReplyDelete
  15. Congratulations,you anonymous on
    Mon Dec 24, 10:40:00 PM 2012
    don't be silly,you have no point, stop pretending! you peanut head GO AWAY!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...