Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo wakati wafuasi wa   Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipomiminika kwa Wingi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja vya Kilombero mjini hapa alipohutubia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini. SOMA ZAIDI:www.mrokim.blogspot.com



HUYU NI NANINI?RAISI MPYA WA TANZANIA?
ReplyDeleteWatu wa Arusha mnampendea nini Lema wakati hawaletei maendeleo?
ReplyDeletetunampenda wewe inakuuma nini kimpango wako best
ReplyDelete