Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Dar inasifika sana kwa vikwangua anga vipya kila kukicha. Je entrance and exit are wheelchair accessible? Kuna mpango gani wa ku-acommodate ndugu zetu wanotumia wheelchairs?

    ReplyDelete
  2. WACHORA RAMANI NA MAKANDARASI WA MAJENGO YA KWETU HAPA BONGO HAWAJAWAHI KUONA WALA KUSIKIA KUWA KUNA WALEMAVU NDANI YA NCHI HII WAO WANAONA KILA MTU MZIMA NA WATU WOTE HAWANA ULEMAVU NA IKIWA WAPO WALEMAVU BASI HAWANA SHUGHULI AU SHIDA KATIKA MAJENGO HAYO KWA KUWA WAO NI OMBA OMBA TU MITAANI HILI TATIZO LA KISAIKOLOJIA KWA HAWA WASOMI WA MICHORO NA WAJENZI WETU HAPA AFRIKA YA BONGO.
    KUNA MSEMO WA WAHENGA ULIONENA KUSOMA SI KUELEWA,MUNGU WASAIDIE WALIGUNDUE HILI KWANI ELIMU ZAO SI ZA KUZITEGEMEA KULISHUGULIKIA TATIZO HILI.

    ReplyDelete
  3. iwekeni facebook ijadiliwe

    ReplyDelete
  4. Mimi nasema siku zote utajiri aliopata western civilazation hata sisi waafrika tujitahidi vipi hatuwafikii.najua watu wataniona sina akili ila walemavu wanavoteswa Africa sijui lini itafikia kikomo.

    ReplyDelete
  5. mwanangu umesema kweli waafrika kifikia maendeleo kama ya ulaya AMA marecani nindoto hatuwezi kufika huko

    ReplyDelete
  6. Kuna majengo mengi yaliachwa na wakoloni hapa Tanzania, mbona hayana njia za walemevu? Hao wazungu na wamarekani hawakuwa na hivi vitu some years ago. Sasa hv vipo sio ulaya tu hata bongo majengo mapya mengi na hospital yana njia za walemevu. Even in Europe and America social inclusion is new and still evolving sio tu kwenye majengo pia education,transport etc..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...