Hivi ndivyo Mwandishi wa Blog hii alipo mkuta bibi Thabitha Ngalaba, Eneo la Station ya Mwanza akiosha kioski chake cha kuuzia Samaki siku moja kabla ya treni kuingia Mkoani Mwanza baada ya muda mrefu. Eneo la station ya Mwanza lilikuwa maarufu kwa Wajasiriamali wadogo wadogo katika kujipatia kipato. Hivi sasa mambo ni mswano tena baada ya safari za terni kuzinduliwa upya hadi Mwanza!
Home
Unlabelled
HUREEEEE TRENI NJOOO MWANZA! WAJASIRIAMALI TUPONE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...