Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yaani wale wale, Kenyatta na Odinga. Tumechoka na hawa viongozi wale wale, tunaitaji damu mpya.

    ReplyDelete
  2. Hawana mvuto, maana hawamwagi sera wala manifesto bali kugawana kikanda.

    Siasa za Majirani tuwaachie wenyewe maana tofauti na jinsi huku kwetu wakimwaga sera, manifesto na ahadi kibao.

    Kweli kila watu na tabia zao aliimba Fresh Jumbe Mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...