Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa
Abrahman Kinana,wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM
Kisiwandui,kushiriki katika kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar,(katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa
CCM Taifa Abrahman Kinana,(wapili kushoto) Naibu Katibu Mkuu CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakiimba wimbo
wa Chama wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui,
katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya
Zanzibar,kilichofanyika leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Kikao cha siku Moja cha
Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika
ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ikiwa ni kikao chake cha
kwanza tokea kushika nafasi ya Makamo baada ya Uchaguzi Mkuu uliopita
hivi Karibuni Mjini Dodoma,(kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman
Kinana.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakipitia ajenda za Kikao katika ukumbi
wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya
Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo
tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika ukumbi wa
CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja, Chini ya
Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo
tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,wakiwa katika Kikao katika
ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,katika kikao cha siku moja,
Chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,ikiwa ni kikao chake cha mwanzo
tokea kushika nafasi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa Chama Uliofanyika
Mjini Dodoma.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Ohhh Zenji ni CUF tupu nani kasema hivyo?
ReplyDeleteSi ni vile tu mkiona mtu yupo Chama kingine mnamtenga?, mnamnyooshea kidole, mnammwagia tindikali na kumnyanyasa?
Siasa kila mtu na itikadi yake hawezi mtu kuwa Yanga SC halafu unamlazimisha awe Simba SC!