Naibu Waziri ,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy mwalimu (wa pili kulia) akiwa pamoja na Kamishna Msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Dawati la Jinsia la Polisi,Adolphina Chalo (kushoto), Katibu Tawala Tarime,Erenest Kabohora na Mwenyekiti wa halmashauri Tarime,wakati alipofanya Ziaya katika Wilaya ya Tarime ya kuhamasisha Wananchi wa Wilaya hiyo kuacha utamaduni wa Kuwakeketa watoto wa kike.
Mmoja wa wananchi akichangia hoja wakati wa mkutano wa hadhara kuhamasisha kuacha vitendo vya Ukeketaji.

Kundi la Vijana wakisherekea baada ya watoto wa kike kukeketwa.
Sehemu ya wanawake waliohudhuria katika mkutano wa hadhara juu ya uhamasishaji wa kuachana na vitendo vya ukeketaji.
Mhe.Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na wazee wa mila katika kijiji cha Kiongera, Kamishna Msaidizi ,Katibu Tawala na Mwenyekiti wa Halmashauri.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...