Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, jioni hii hadi sasa katika dakika ya 85 imefungwa bao 3-0 na Uganda Cranes katika nusu fainali ya pili ya michuano ya kandanda ya CECAFA Tusker Challenge Cup jijini Kampala.
Hii ndio kusema fainali za michuano hii, kama matokeo yatakuwa hivi hadi mwisho, ambapo mchezo umesimama dakika hii kutokana na taa za uwanja kupata kwikwi, itakutanisha Kenya na Uganda katika mchezo wa fainali Jumamosi, wakati ndugu wa damu Kiimanjaro Stars na Zanzibar Heroes watapambana kupata mshindi wa pili na wa tatu.
ANGALIZO: Taa zimerudi na ngoma imekwenda hadi dakika 90 na Ushee...Matokeo ni yale yale Uganda 3 na Kilimanjaro stars 0

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...