Mwanamuziki Nyota wa kimataifa katika anga ya muziki wa dansi  kutoka nchini DR-.Kongo Koffi Olomide akiwa sambamba na skwadi lake zima la Quartie Latin wakitumbuiza jukwaani mbele mashabiki wao (hawapo pichani) usiku huu kwenye uwanja wa CCM-Kirumba jijini Mwanza,Onesho hilo liitwalo Tusker Carniva lilikuwa limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager
Pichani shoto ni msanii kutoka THT,Rachel akionesha umahiri wake wa kucheza lingala huku Koffi Olomide akidekshia kwa mbaali hivi,palikuwa hapatoshi watu wangu.
Mwimbaji nyota wa Koffi Olomide,Cindy nae akionesha umahiri wake wa kujimwaya mwaya jukwaani,huku mashabiki (hawapo pichani) wakipiga miluzi na mayowe.
Wakazi wa Mwanza waliofika kwenye uwanja wa ccm-kirumba walijionea na kushuhudia vilivyo kuwa Koffi Olomide na kundi lake zima la Quartie Latin bado ni moto wa kuotea mbali.
Burudani ikiendelea jukwaani.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya SBL,Ephraim Mafuru, Anitha Msangi Maurice Njowoka na Patrick Kisaka kutoka kampuni ya bia ya Serengeti wakiwa katika picha ya pamoa usiku huu ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba.Onesho hilo liitwalo Tusker Carniva lilikuwa limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Tusker Lager
Sehemu ya wakazi wa Mwanza wakifuatilia kwa makini burudani.Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...