Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na mmoja wa watoto waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wake wa Kuihamasisha Jamii Kuachana na Ukeketaji kwa wakazi wa kijiji cha Sulubi,Wilayani Tarime.Mwenye Tisheti ya mistari nyuma ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime,Mhe.Amosi Sagara.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) akingea na Mhe. Preira Silima Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. John Henjewele na aliyesimama ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mhe.Amosi Sagara.
Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Sulubi,Wilayani Tarime.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Mzee wa mila , Kamshina Msaidizi Mwandamizi Adolpina Kyalo na baadhi ya akina mama wa kijiji cha Nyamwigura waliofika katika mkutano wa hadhara kumsikliza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...