Mr.Alexander Minja Kombe Enzi ya uhai wake
Imefunguliwa account kwenye msiba wa Mzee wetu Alexander Minja Kombe
Jina:Julia Shirima
Mzee Kombe alifariki alfajiri(ijumaa -December 14,2012)nyumbani kwake Lanham,Maryland.
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amina.
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amina.
Msiba upo nyumbani kwake:
8918 2nd Street
Lanham,Md 20706
Kwa habari zaidi wasiliana na wafuatao:
George Kombe-240 476 3260
Leslie Kombe-240 386 7583
Stella Kombe-301 281 1116
Dorice Mushi-240 688 3219
Jerome Kassembe-240 682 6067
Baraka Daudi-301 792 8562.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...