Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa sherehe za kuupokea Mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini wa Kiislamu, baada ya kujumuika na waumini hao katika sherehe za kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mtoto Mariam Nassor, ambaye ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka uliopita wa Kiislma. Makamu alikabidhi zawadi hizo wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akiwa ni mmoja kati ya watu waliofanikisha maandalizi ya sherehe hizo kuanzia mwaka uliopita wa Kiislma. Makamu alikabidhi zawadi hizo wakati wa sherehe za kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1434 Hijriyya, zilizofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2012. Picha na OMR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...