Bw Ayubu Haruna Kajoro mwenye umri wa miaka 41 mkazi wa Keko Magurumbasi akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kukusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya
Bw William Ndiye Keiya mwenye umri wa miaka 31 mkazi wa wa Ubungo Kibangu akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam
Wananchi wa kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia mkutano wa kukusanya maoni kuhusu katiba mpya
Wananchi wa kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam wakifatilia mkutano wa kukusanya maoni kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya Kivukoni kwa lengo la kukusanya maoni ya wananch
Bi Amina Hassani mwenye umri wa miaka 11 Mwanafunzi wa darasa la tano mkazi wa Makongo Kaakitoa maoni yake kuhusu katiba mpya wakati tume ilipotembelea kata ya Upanga Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam.
...KATIBA MPOYA??? tizama tittle mdau
ReplyDeleteMikutano ya jinsi hii ilitakiwa iwe inafanywa na wabunge na madiwani na si kungoja tume ambapo hoja ni nyingi na wachache tu wanapata nafasi kutoa maoni na fahari ya kushika kinasa sauti(mic) na kusikika. Kumbe jamii ina mengi ila hakuna fursa, au?
ReplyDeleteMaoni ya KATIBA:
ReplyDelete1.Ras picha ya kwanza juu, ibara hizi mbili chini ni muhimu ktk Katiba.
(i)'Majani pia ni dawa' tuangalie ktk Katiba mpya uwezekano wa kuyahalalisha sasa badala ya kuwa Kosa la Jinai!
(ii)Tuangalie uwezekano wa Konyagi-B (Gongo) ili ichangie Pato la Taifa, tunapigania kukuza Uhcumi kwa uzalishaji mali, bidhaa na huduma nchini na na kuamsha vipato hasa vya akina mama wale wapishi, Konyagi-B iingizwe ktk Gridi ya Taifa kupitia Konyagi-A ambayo tayari inayo Leseni ya Biashara!
2.Morani (Masai) picha ya pili juu ibara kuu muhimu ni mbili hizi muhimu ktk Katiba:
(i)Kuhakikisha Malisho ya mifugo na maji hadi Mijini bila vikwazo vya Manispaa ja Mijini.
(ii)Kuendeleza Mila na desturi za Makabila, ambazo Makabila mengi yameshashindwa!
nilidhani MPOYA ni jina la mahali, kumbe katiba mpya!
ReplyDeleteKUsoma picha inaonekana watoa maoni huyo rasts anasemasema ligalaiz marijuana,huyo aliyevaa lubega atadai haki ya kulisha mifugo kwenye mashamba ya wakulima, na huyu mwanafunzi atakuwa anadai adhabu ya viboko ifutwe
ReplyDelete