NIMEPOTELEWA NA VYETI VYA O’ LEVEL, A’ LEVEL , ACADEMIC TRANSCRIPT NA DEGREE AWARD YA CHUO KIKUU CHA SIKKIM MANIPAL CHA NCHINI INDIA, BIRTH CERTIFICATES.
VYETI VYOTE VINA MAJINA YA DEOGRATIAS FIDELIS LUMATO, YEYOTE ATAKAYEVIONA AWASILIANE NA NAMBA ZIFUATAZO:
ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA YEYOTE ATAKAYEVIONA.
MDAU DEO
|
Home
Unlabelled
Msaada kwenye tuta tafadhali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pole sana Ndugu yetu Deogratius Fidelis Lumato,
ReplyDeleteHapo utaweza kurejesha vitu vyote isipokuwa Vyeti kutoka Taasisi moja Inayoitwa BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA (NECTA) hapo sahau, ni vile utabaki kutumia Results Slips maisha yako yote kwa Udhalimu mkubwa wa NECTA !!!
Hivi ninyi NECTA mnao ubora wa kuizidi Cambridge and Oxford za Uingereza?
Mtu akipoteza vyeti vya Sekondari vya Uingereza ingawa atalipa gharama fulani ya ziada atapata Vyeti vingine na siyo kulazimika kutumia Results slips kama mnavyofanya ninyi NECTA,
Hivi Necta mtaacha lini udhalimu wenu huu?
Hamjilinganishi na Mabaraza mengine ya Mitihani Duniani?