Huyu jamaa Mory Kante sijui yuko wapi siku hizi maana miaka ya 80 aliwarusha wadau kwenye madisko na wimbo wake wa ‘Yeke Yeke’ si haba…. Mwenye data msaada tutani tafadhali
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hapo nakumbuka kwenye miaka ya themanini wimbo huu ulikuwa umeshika chati mpaka Europe.
ReplyDeleteHuyu na akina Selif Keita, Osibisa, Mano Dibango kwa kweli waliupandisha chati sana muziki wa Afrika.
poa ilej mbaya yani umenifurahisha na kunikumbusha mbali sana muhidini issa aisee jamaa sijui yupo wapi
ReplyDeleteNew York
Yeke yeke tomorrow yeke yeke X 3
ReplyDelete...(Halafu anaimba kwa lugha ya kwao Afrika ya Magharibi)...
Ohhhh jamani zamani kulikuwa kutamu,
Unatukumbusha mbali sana!!!