President Obama openly wept today as he spoke of the mindless shooting of 26 people, including 20 children, at Sandy Hook Elementary school this morning saying, 'Our hearts are broken today'.
In an extraordinary show of emotion at a White House press conference, Obama said: 'I know there's not a parent in America who doesn't feel the same overwhelming grief that I do.'
The President addressed a stunned nation five hours after the son of a teacher brought terror to the Newtown, Connecticut, elementary school.
Seldom has a head of state expressed greater public emotion in modern times. Obama struggled for words, pausing several times as he wiped away tears saying, 'This evening, Michelle and I will...hug our children a little tighter, and we'll tell them that we love them.'
There have been conflicting reports of who the shooter is with some officials identifying him as Ryan Lanza, 24, and others claiming it is Adam Lanza. NBC said Adam may have been carrying his brother's ID.
For source and more CLICK HERE


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Sasa Marekani kama kweli ni mahodari basi pambaneni na huo ugaidi wa kikweli ndani ya nyumba yenu. Mnatoa vibanzi kwa wenzenu wakati kwenu kuna maboriti.

    ReplyDelete
  2. Duniani watu wanakufa kila siku. Watoto wanakufa kila siku sehemu mbali mbali duniani. Lakini msiba wa wamarekani dunia nzima "inalazimishwa" kuhudhunika. Hapa duniani uhai wa wamarekani unaonekana kama vile ni wa muhimu zaidi kuliko uhai wa watu wengine...

    ReplyDelete
  3. vipi kuhusu afghanistan iraq pakistan yemen syria somalia sudan na kwengineko ambapo wanakufa watoto wadogo kwa mabomu yanayosababishwa na amerika? mbona hajawahi kulia hata siku moja kama sio unafiki wa kisiasa?

    au msiba wa mwenzio sio wauchungu kama wako?

    ReplyDelete
  4. Wewe unayesema unafiki wa kisiasa kwa vipi? Hata hao watoto wa iraq na kwingine most people grief. You shouldnt make any comment regarding president Obama.

    ReplyDelete
  5. Kwanini watu wasiweke comment kuhusu Rais Obama? Mdau hapo juu amesema kweli. Wamarekani kwa sababu zao binafsi wamekwenda kulipua mabomu kwenye nchi mbalimbali na kuua watoto na watu wazima wengi wasio na hatia. Laana hii inawarudia wao. Na bado, Mwenyezi Mungu wasiyemthamini atawaonyesha nguvu zake na vilio vya Iraq, Afghanistan. Somalia, Sudan. Libya na kwingineko havitapotea bure.

    ReplyDelete
  6. Why we "shouldn't make any comment regarding president Obama" ? Yes,it's true that American government killed a lot of children in Iraq and continues to kill in Afghanistan and elsewhere. It's Ok for Obama to shade tears, but at the same time, he should remember that many innocent children outside the USA are dying because of American bombs.As Jeremiah Write said "American chickens have come home to roost". May God rest all the children dying due to American bombs and guns in peace. Amen

    ReplyDelete

  7. WEWE ANON WA 4,

    INAELEKEA UMEVIMBIWA LUNCH YA FOOD STAMP HUTAKI MTETEZI WAKO AKOSOLEWE.

    AMKA!

    ReplyDelete
  8. Mauaji wa ndani ya MAREKANI namna hii ni dalili ya Sera za Marekani, za ndani na nje juu ya dunia kukataliwa kuanzia ndani ya nchi yao!

    Hivi, ni kichaa gani hicho uue watu wa nchi mwako?

    ReplyDelete
  9. Hii ni nini?

    Ni upande wa pili wa Sarafu ktk tatizo la kuchanganyikiwa kiakili linaloletwa na Madawa ya kulevya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...