Brigitte Alfred, Redds Miss Tanzania 2012 akikabidhiwa zawadi ya gari yake leo hii tarehe 10 Desemba 2012 na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, bw. Bosco Majaliwa. katika ofisi ya Lino International Agency Limited zilizopo Mikocheni jijini D'salaam.
 REDDS MISS TZ 2012 AKIPITIA NYARAKA ZA GARI LAKE BAADA YA KUKABIDHIWA NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO MAJALIWA.
 KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO MAJALIWA AKIONGEA MACHACHE KABLA YA KUKABIDHI GARI
 KATIBU MKUU WA KAMATI YA MISS TANZANIA BOSCO MAJALIWA AKIKABIDHI GARI

REDDS MISS TZ 2012 AKIFURAHI BAADA YA KUKABIDHIWA GARI LAKE NA KATIBU MKUU KAMATI YA MISS TANZANIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa


  1. Bora ni noa voksi sio ki vitz...

    ReplyDelete
  2. Miss gani huyo asiye na maadili ya kiTZ. Ofisini kwa mtu unakalia meza yake badala ya kiti?! Ama kweli maadili yametoweka.

    ReplyDelete
  3. Mbona wanaotajwa ni viongozi tu badala ya mshindi!?

    ReplyDelete
  4. mbona jamaa anatoa gari kwa shingo upande na sura ya kwanini hahaha bongo bana au kalinunua yeye hiyo gari?

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 4 anony wa Tue Dec 11, 01:40:00 PM 2012

    Hahahahaha!

    ...mbona jamaa anato kwa shingo upande.

    Mdau kumbuka ule msemo wetu usemao 'UKITAKA UBAYA DAI CHAKO' !

    ReplyDelete
  6. Hehehehe mdau wa nne ,

    Miss TZ amekuja dau gari lake ndio mana Boss yupo kama analitoa kwa shingo upande na sura ya kwa nini!

    ReplyDelete
  7. Picha ya chini Bossi wa Miss Tanzania anaonekana ana 'sera ya ziada' zaidi ya kulikabidhi gari kwa Mshindi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...