Kwa niaba ya Richard Mwandemani na familia yake, tunasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzee Edson Mwandemani kilichotokea leo mchana 12/14/2012 Bay State Medical Hospital hapa mjini Springfield, Mass.
Habari ziwafikie wanafamilia wote, ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba uko nyumbani kwa Richard 113 Enfield Street, Indian Orchard, Mass01151.
Mipango ya mazishi inaendelea ili mzee wetu aweze kurudishwa nyumbani Tanzania kwa mazishi.
Kwa taafira zaidi wasiliana na:
Richard Mwandemani (413) 242-0400
Isaac Kibdya (413)219-1153
Kawala Mgawe (413) 330-1609
Shukran
poleni sana wanafamilia mungu amlaze pema peponi.Hizi code wadau ni India au UK?
ReplyDelete