Pichani Juu na Chini ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi ya Tirima Enterprises ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakifanyakazi ya kujitolea kuzibua mitaro katika Mtaa wa Mtambani relini eneo la Vingunguti ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha wakazi wa Vingunguti kufanya usafi katika maeneo yao kutokana na kushambuliwa na magonjwa wa kipindupindu mara kwa mara.
Home
Unlabelled
TIRIMA ENTERPRISES YAHAMASISHA USAFI WA MAZINGIRA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Subhannallah, nchi gani hii?
ReplyDeleteBongo tambarareee!
ReplyDeleteHii ndio piano ya kuiga . Jambo dogo lenye manufaa makubwa, na kunikuza endapo wengine watajitokeza kutekeleza mfano wa haya , itakuwa .ni hamasa nzuri ya kimaendeleo .tunawapa hongera na kumuomba ankal airushe hii kwa wiki nzima ili iwafikie wana blog wengi zaidi
ReplyDeletesasa jamani huo uhamasishaji mbona hawajafikiria swala la afya mtu hana gloves wala viatu anachimba mtaro wa maji machafu pumbavu na wewe ankl una ni jamabo lakuandikia kwenye mtandao
ReplyDeleteAnkal kila siku naomba watanzania wajue swala la kujitolea, haya ndo mambo tunayotakiwa kufanya kila siku ya maisha yetu...Vingunguti night kuchafu sana.
ReplyDeleteHongereni Tirima.