Pichani Juu na Chini ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi ya Tirima Enterprises ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakifanyakazi ya kujitolea kuzibua mitaro katika Mtaa wa Mtambani relini eneo la Vingunguti ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha wakazi wa Vingunguti kufanya usafi katika maeneo yao kutokana na kushambuliwa na magonjwa wa kipindupindu mara kwa mara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Subhannallah, nchi gani hii?

    ReplyDelete
  2. Bongo tambarareee!

    ReplyDelete
  3. Hii ndio piano ya kuiga . Jambo dogo lenye manufaa makubwa, na kunikuza endapo wengine watajitokeza kutekeleza mfano wa haya , itakuwa .ni hamasa nzuri ya kimaendeleo .tunawapa hongera na kumuomba ankal airushe hii kwa wiki nzima ili iwafikie wana blog wengi zaidi

    ReplyDelete
  4. sasa jamani huo uhamasishaji mbona hawajafikiria swala la afya mtu hana gloves wala viatu anachimba mtaro wa maji machafu pumbavu na wewe ankl una ni jamabo lakuandikia kwenye mtandao

    ReplyDelete
  5. Ankal kila siku naomba watanzania wajue swala la kujitolea, haya ndo mambo tunayotakiwa kufanya kila siku ya maisha yetu...Vingunguti night kuchafu sana.
    Hongereni Tirima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...