Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akiongea na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya Sekta ya Utangazaji wakati alipoizindua Kamati hiyo jana (leo) jijini Dar es Salaam kushoto kwa Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Bibi Rehema Makuburi.(Picha zote na Benjamin Sawe).
Home
Unlabelled
UZINDUZI WA KAMATI YA MAUDHUI YA SEKTA YA UTANGAZAJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...