Waziri Mkuu,Mizengo Pinda amewataka Watanzania kuwa na utamaduni wa kucheki afya zao mara kwa mara wakati akiwahutubia wananchi walio hudhuria sherehe ya Krismas aliyoianda katika kijiji cha Kibaoni,Mkoani Katavi.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Pinda wakifungua muziki wa dansi katika sherehe ya Krismasi ambayo alianda kwa wananchi waliokuja kusherehekea sikukuu hiyo katika kijiji cha Kibaoni Katavi.Waziri Mkuu yupo kijijini kwao Kibaoni kwa mapumziko ya krismasi na mwaka mpya.
Wananchi walio hudhuria sherehe ya Krismasi ambayo iliandaliwa na Mh Waziri Mkuu,Mizengo Pinda katika kijiji cha kibaoni wanaonekana wakiserebuka muziki wa dansi.
Badhi ya wakina mama wakiwa na msaidizi wa Waziri Mkuu Mama Kapaya wakiwa wamejipumzisha kwenye kivuli wakibadilishana mawazo kutokana na sherehe ya Krismasi ilivyo fana katika kijiji cha Kibaoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. This is what Europeans can`t beat us,HAVING FUN! look at the babu with bagalashia, mkono mmoja una soda and wa pili una Bia, halafu anakata manyanga kama amepagawa vile, angalia na watoto wamejaa furaha tele.

    ReplyDelete
  2. Hapo Mwaafrika umemmaliza kabisaaa....baada ya hapo ngoja kiza kiingie ili mradi maisha yanasonga mbele.

    ReplyDelete
  3. Kudadadeki! Yaani watu wamekamata bia mbilimbili. Mjini ni nadra sana kupata bahati kama hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...