Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kushoto) akizungumza na Balozi wa Vietnam hapa nchini,Mh. Nguyen Duy Thien, katika Ofisini Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela ambaye alijumuka katika mazungumzo hayo. Wengine ni Maofisa wa Makao Makuu ya CCM.
Balozi wa Vietnam hapa nchini,Mh. Nguyen Duy Thien (kushoto) akimkabidhi zawadi maalum, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...