Habari za Mchana. Pole na Majukumu.
Napenda kuwahabarisha vijana wenzangu kupitia blog yako tukufu kuwa University of Dar es salaam, Wametoa fursa za nafasi za kazi zaidi ya 50 katika fani mbalimbali. Kwa kijana yeyote atafute Gazeti la Daily news ya leo ukurasa wa 20,21,22.Au abonyeze hapa
Nawatakia mafanikio mema kwa wale wote watakaoomba.
Wenu Mdau
Thanks Michuzi,
ReplyDeleteLakini usiwe mbaguzi hata sisi wazee tuanzitaka kazi hizi. Ngoja nikatafute gazeti sasa hivi
thank you mdau..it might be usefull for my future career. God bless!.
ReplyDelete