Barabara ya Morogoro -Iringa imekuwa tegemezi kwa wasafirishaji hasa wanaosafirisha mizigo kwa kutumia magari makubwa kwenda nchi za jirani za Zambia na Malawi ikitokea Bandari ya Dar es Salaam.Kwa sasa ni kiunganishi kikubwa cha nchi hizo. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Chonde Chonde Watanzania. Tutunze mazingira ya Milima hii. Yapendeza kweli kweli.

    ReplyDelete

  2. Ni kweli kabisa, ni vyanzo vya mvua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...