Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Bw. Yukiya Amano akiwa kwenye mkutano akimsikiliza Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (hayupo pichani) wakati akitoa maelezo kuhusu matumizi ya mionzi nchini kwa ajili ya tiba kwa binadamu iikiwemo tiba ya saratani inayofanyika kwenye Hospitali ya Saratani, Dar es Salaam. Pamoja naye nae ni Prof. Sospeter Mhongo, Waziri wa Nishati na Madini nchini. Mazungumzo Hayo yamefanyika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es Salaam. Picha na Prisca Jackson, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof. Makame Mbarawa (kulia) akimpatia zawadi ya picha Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Bw. Yukiya Amano.
 Waziri wa Nishati na Madini,Prof. Sospeter Mhongo akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Bw. Yukiya Amano mara baada ya kumalizika kwa mkutano wao uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es Salaam. 
 Picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani mwandishi anaitwa prof. S. Muhongo sio P. Mhongo. kuweni makini na majina ya watu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...