Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania,Sunil Colaso akiongea na meneja wa
Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando wakati wafanyakazi wa Airtel
walipotembelea wateja wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo huduma mpya ya Airtel
Yatosha inayompa mteja, Simkadi moja, taifa moja na bei moja.
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa Airtel Tanzania,Godfrey Mugambi akimsajili mtenja mpya wa Airtel,Mzee Jumanne Ally mkazi wa Namanga Msasani wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembea wateja wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo ya Airtel Yatosha.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya akimpa maelekezo ya huduma ya Airtel Yatosha mmoja wa wateja wa Airtel alietambulika kwa jina la Juliana wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea wateja wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo huduma mpya ya Airtel Yatosha inayompa mteja, Simkadi moja, taifa moja na bei moja.
Mkurugenzi wa kitengo cha Mauzo Mustapha Kapasi( kushoto) pamoja na
Gaspa Mroso waakiongea na wateja wakati wafanyakazi wa Airtel
walipotembea wateja wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo Airtel
Yatosha.
Afisa Mauzo wa Airtel bi Theresia Kimaro Akiongea na wateja juu ya
huduma ya Airtel yatosha wakati Airtel walioko Magomeni na kutoa elimu
juu ya huduma mbalimbali ikiwemo ya Airtle yatosha.
Meneja wa kitengo cha network, Emmanuel Luanda akisajili wateja
kwenye huduma ya Airtel Yatosha wakati wafanyakazi wa Airtel
walipotembea wateja wake na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo Airtel
Yatosha mwishoni mwa wiki hii.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso Akibandika moja ya
kipeperushi cha Airtel yatosha wakati wafanyakazi wa Airtel
walipotembea wateja wake na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo Airtel
Yatosha inayompa mteja, Simkadi moja, taifa moja na bei moja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...