Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe.Peter Kallaghe akiwa katika mazungumzo na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge waliokwenda kumsalimu ofisini kwake jana jioni wakiongozwa na Naibu Spika Mhe.Job Ndugai.
Picha ya pamoja baina ya ujumbe wa Bunge la Tanzania ulioko Uingereza na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania.
Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...