Venezuelan President Hugo Chavez has died after a battle with cancer.

Venezuela's President Hugo Chavez has died, his vice-president has announced.

Mr Chavez had not appeared in public since he returned to Venezuela last month after cancer treatment in Cuba.

An emotional Nicolas Maduro made the announcement on Tuesday evening, flanked by leading Venezuelan political and military leaders.

Earlier, he said the 58-year-old Venezuelan leader had a new, severe respiratory infection and had entered "his most difficult hours".

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Che GuavaraMarch 06, 2013

    RIP kamanda Chavez, mabeberu hasa USA wanafuruhia sana kifo hiki bali Mungu atakulipia.

    ReplyDelete
  2. Leo white house wanaanza mikakati ya kutafuta beberu wa kumweka, amebakia Assad sasa.

    ReplyDelete
  3. Hakika kwake allah wote tutarejea, yaani roho unaniuma tangu huyu jamaa alivyokuwa akitibiwa huko Cuba, huyu ni mzalendo mmoj aliyepungua katika uso wa dunia, Hugo Chavez, kifungo chako jela na harakati zako za kuboresha maisha duniani hazitaenda bure, record kwa mungu hazifutiki. RIP Jemadari.

    ReplyDelete
  4. Ni masikitiko sana jembe limeondoka, lilikuwa halimjali yeyote duniani na alisimamia analoliamini

    ReplyDelete
  5. Huyu alikuwa kiongozi wa watu siyo kama maKing ya 3rd World yanavyotafuna nchi zao utafikiri hakuna kesho.

    ReplyDelete
  6. rest in peace jembe chavez we will miss you

    ReplyDelete
  7. Mungu mlaze mahali pema
    Ndugu huyu alikuwa na maadui wengi sana nchini kwake na nje ya nchi yake, na kosa lake kubwa ni kuwa alitumia utajiri wa nchi, hasa mafuta kupigana na umasikini wa nchi yake.

    ReplyDelete
  8. huyu ndie kiongozi hasa alokuwa akiwapa ukweli USA na mpiganaji kwa sisi wanyonge

    kwani sio kusema akiwa mbali tu bali akiwa ndani ya marekani na akimpa ukweli bush au rais yeyote

    ulimwengu tumeondokewa na msema kweli

    ReplyDelete
  9. RIP EL COMANDANTE HUGO CHAVEZ. NO IMPERIALISMO. ALUTA CONTINUA

    ReplyDelete
  10. Dr. Nkrumah, Sekou Toure, Nyerere na sasa Chaves.

    Ngoja watinge, siku zao zimehesabika - cia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...