Venezuelan President Hugo Chavez has died after a battle with cancer.
Venezuela's President Hugo Chavez has died, his vice-president has announced.
Mr Chavez had not appeared in public since he returned to Venezuela last month after cancer treatment in Cuba.
An emotional Nicolas Maduro made the announcement on Tuesday evening, flanked by leading Venezuelan political and military leaders.
Earlier, he said the 58-year-old Venezuelan leader had a new, severe respiratory infection and had entered "his most difficult hours".
RIP kamanda Chavez, mabeberu hasa USA wanafuruhia sana kifo hiki bali Mungu atakulipia.
ReplyDeleteLeo white house wanaanza mikakati ya kutafuta beberu wa kumweka, amebakia Assad sasa.
ReplyDeleteHakika kwake allah wote tutarejea, yaani roho unaniuma tangu huyu jamaa alivyokuwa akitibiwa huko Cuba, huyu ni mzalendo mmoj aliyepungua katika uso wa dunia, Hugo Chavez, kifungo chako jela na harakati zako za kuboresha maisha duniani hazitaenda bure, record kwa mungu hazifutiki. RIP Jemadari.
ReplyDeleteNi masikitiko sana jembe limeondoka, lilikuwa halimjali yeyote duniani na alisimamia analoliamini
ReplyDeleteHuyu alikuwa kiongozi wa watu siyo kama maKing ya 3rd World yanavyotafuna nchi zao utafikiri hakuna kesho.
ReplyDeleterest in peace jembe chavez we will miss you
ReplyDeleteMungu mlaze mahali pema
ReplyDeleteNdugu huyu alikuwa na maadui wengi sana nchini kwake na nje ya nchi yake, na kosa lake kubwa ni kuwa alitumia utajiri wa nchi, hasa mafuta kupigana na umasikini wa nchi yake.
huyu ndie kiongozi hasa alokuwa akiwapa ukweli USA na mpiganaji kwa sisi wanyonge
ReplyDeletekwani sio kusema akiwa mbali tu bali akiwa ndani ya marekani na akimpa ukweli bush au rais yeyote
ulimwengu tumeondokewa na msema kweli
R.I.P
ReplyDeleteRIP EL COMANDANTE HUGO CHAVEZ. NO IMPERIALISMO. ALUTA CONTINUA
ReplyDeleteDr. Nkrumah, Sekou Toure, Nyerere na sasa Chaves.
ReplyDeleteNgoja watinge, siku zao zimehesabika - cia!