Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa,hali ya eneo hili ndio iko namna hii kama ilivyonaswa na Mdau wa Globu ya Jamii,huku akiuliza kwamba, hivi kama hali iko hivi huku kwa "wakubwa" je kwa "kina yakhe" itakuwaje? Kweli hii ni aibu kubwa kwetu sote wakaaji wa Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. safi sana nchi nzuri ina neema nyingi tushukuru kwa neema tulizojaaliwa

    kuhusu maji kujaa hayo tuwaachie wakuu wanaotuongoza katika sekta mbali mbali

    nina hakika ipo siku tutafika safari yetu kama sio leo ni kesho na kama sio kesho basi hata baada ya miaka 100

    god bless all.

    ReplyDelete
  2. sasa miundo mbinu ikae chini na kudhibiti hii kero. yaani wahandiso wote Tz hawawezi kutoa ujuzi wao mpaka tulete Watallamu wa nje tena wa kutuharibia! na kusababisha majanga! elimu ya Tz bwana si kufelisha form four bali muweke malengo thabit ya kutoa elimu bora! nddddkh! pumbaf!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...