Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha Polisi Mji mpya wa mabwepande, Wilaya ya kinondoni Jijini Dar es salaamu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema akiwahutubia wakazi wa mji mpya wa mabwepande mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika kituo kipya cha Polisi kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika mji huo mpya.
Maofisa wa Polisi na wakazi wa mabwepande wakishangilia kufunguliwa rasmi kwa kituo cha Polisi katika mji mpya wa mabwepande.
Msemaji wa Jeshi la
Polisi Advera Senso pamoja na maofisa wengine wakiwa nje ya jengo jipya la kituo cha Polisi Mabwepande mara baada ya Mgeni rasmi IGP Said Mwema kuweka jiwe la Msingi
Usalama kwanza!
ReplyDeleteImekuwa ni vyema kudumusha Usalama wa raia hapa, kwa kuwa pana wanaofikiri Mabwepande bado ni msituni.
Ile kwachaaaa ***uhalifu***, Polisi ipo ngunguri meta chache mbele!,,,(Wahalifu wanajiuliza wenyewe) ohhh hakuna pa kutokea?