Habari Ankal,
Napenda kuwafahamisha wadau juu ya Blog mpya inayohusu mambo mbalimbali yanayoambatana na injili. Yakiwemo masomo mazuri ya kutujenga kiroho,nyimbo mpya za injili,video na shuhuda.
Tafadhali tembelea hata mara moja kwa siku.
HII NI KWA WOTE BILA KUJALI DINI WALA DHEHEBU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...