Ankal keshapiga taswira kibao ila ukimuuliza hivi karibuni kapata taswira ipi anayodhani ni tamu kwake atakurudisha Desemba 9 mwaka jana wakati wa sherehe za Uhuru katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam ambapo kulikuwa na burudani toka kundi la taifa la utamaduni toka Rwanda. Hizi ndizo taswira tatu tamu za Ankal za hivi karibuni. Unaruhusiwa ku-comment na kuzichambua



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...