Rais Dkt.Jakaya akikagua nyumba za polisi katika eneo la Mabwepande zinazojengwa kwa msaada wa kampuni ya TSN ya jijini Dar es Salaam.Kushoto ni mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya TSN Bwana Farough Ahmed Baghozah
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua kituo cha polisi Mabwepande huku Kamanda wa Polisi Kanda maalum Suleiman  Kova akiangalia.Kituo hicho cha kisasa kimejengwa kwa msaada wa kampuni ya TSN.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam Suleiman  Kova akimuongoza Rais Dkt. Jakaya  Kikwete kukagua kituo kipya cha Polisi Mabwe Pande wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Muumba awalipe

    ReplyDelete
  2. Izo nyumba zipe mwaka tu utaona,Manake police sijui wana asili gani ya uchafu

    ReplyDelete
  3. Saamhani sisi waafrika uchafu ndio asili yetu sijui, we angalia barabara ya morogoro road utakuta katika zile sehemu ambazo zina mashimo ndio zinawekwa taka. Polisi ina makabila kila aina hivyo inarepresent watanzania wote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...