Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siri ya mafanikio Ughaibuni ni kujiripua tu. Sasa katika kujiripua kuna watu wanafanikiwa haraka na kuna watu wamekaa miaka kumi na tano sasa hawajafanikiwa. Hiyo ndio sababu ya kuoneana roho mbaya. Achana na watu waliopata viza za "skilled labour" au za watoto kuzaa.
ReplyDeleteLeo kipindi kilikua kizuri,wahusika wanaongea vizuri na wanajua kupangilia stori.
ReplyDeleteNi kweli yote yasemwayo kokote walipo watanzania si marekani hata europe ni hivyo hivyo kusemana ndio kitu kikubwa na wivu.Ndio maana watu wengine huamua kukaa miji ya mbali peke yao wakijenga urafiki na mataifa mengine.
Topic ya leo nzuri sana, hawa wakaka nawapenda sana maana wanasema ukweli
ReplyDeletewewe miwani meusi mbona unaongea unafikiri umebanwa na mlango...calm down tunakusikiliza.
ReplyDeleteThe comment from first anonymous doesn't make any sense at all. Most of the immigrants in the west are economy refugees. People have been looking for better life since Stone Age. Where you are may be your ancestors came from Central Africa. Home is where you are heart is. It doesn’t matter at all if you immigrated because you are a skilled labor or refugee or by marriage. The most important is that you can survive to a foreign country and make your daily bread.
ReplyDelete