Hapo mmoja buku...anasema mdau 
Gerson Msigwa aliyekuwa huko majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hizi zinauzwa barabarani sawa lakini hata kufunikwa ajamani? si watu wanakula vumbi na magojwa tena? Maafisa Afya wapo wapi siku hizi? au rushwa na wao pia!

    ReplyDelete
  2. buku ndio bei gani???

    ReplyDelete
  3. elfu moja au? sijui kwa nini sipendi hawa wadudu! yaani nawafananisha na nini siji hawawezi pita kinywani kwangu kabisa

    ReplyDelete
  4. buku=2 x jero

    ReplyDelete
  5. kweli bongo umasikini ni wakujitakia, Mwenyezi Mungu katupa kiiiila kitu!!

    ReplyDelete
  6. Sio lazima ukomenti hapa kama huwapendi usiwale hujalazimishwa! Ebo. Wenzio wasaka maisha usilete dharau ati!!

    ReplyDelete
  7. We mshamba wa bara hapo juu hao sio wadudu kama ujuavyo kwa ushamba wako,hao ni samaki tena wana bei kuliko hata senene unaowajua wewe.Tatizo lako hujui jinsi walivyo na waliwavyo.Kalaghabaho!!mtafute Ankal akufundishe

    ReplyDelete
  8. huyo anao ita hao samaki wadudu nadhani hawajuwi vizuri umuhim wake na thamani yao

    ReplyDelete
  9. wananitia hamu sana kuona wadudu hawa.

    ReplyDelete
  10. wewe mdau wa kuponda chakila eti hakiwezi kupita kinywani mwako na kuona ni mshamba kwani wewe unataka binadamu wale chakula gani?

    Kama umezooea kula nyani kula tu hio ni hamu yako sasa naona waache wanaotangaza biashara ya chakula chao. watu kama ninyi ndio mnazorotesha maendeleo ya kiafrika kwa kuweka veto, ndio maana maendeleo yetu yanakuwa finyo kwa ajili ya watu kama wewe.

    Swain

    ReplyDelete
  11. Prawns/lobsters ni miongoni mwa vyakula vitamu na ghali sana, ni chakula maarufu miongoni mwa watu wa ulaya hasa Italy. Kwa wewe unaedai huwapendi labda ni kutokana na umbali wa masafa ulikozaliwa kutoka baharini wanakopatikana. Hata hivyo, nakushauri utembee upate kuosha macho.

    ReplyDelete
  12. dhaahabu ya nyama >ukiwachoma hawa balaaa baba maana kuliko mshikaki ya ngombe

    ReplyDelete
  13. Mate halinijaa mdomoni. Kwa nini sasa wa wenyeji Lindi na Mtwara maskini? Starter ya Prowns Hotelini hapa Dar Tshs > 20,000/ viumbe viwili tu ambayo ingejuwa ni Buku kama 5 Lindi. Ndiyo maana Rais wa China amekuja kukazia Uibia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...