Home
Unlabelled
Mambo ya Mnazi Mmoja Lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hizi zinauzwa barabarani sawa lakini hata kufunikwa ajamani? si watu wanakula vumbi na magojwa tena? Maafisa Afya wapo wapi siku hizi? au rushwa na wao pia!
ReplyDeletebuku ndio bei gani???
ReplyDeleteelfu moja au? sijui kwa nini sipendi hawa wadudu! yaani nawafananisha na nini siji hawawezi pita kinywani kwangu kabisa
ReplyDeletebuku=2 x jero
ReplyDeletekweli bongo umasikini ni wakujitakia, Mwenyezi Mungu katupa kiiiila kitu!!
ReplyDeleteSio lazima ukomenti hapa kama huwapendi usiwale hujalazimishwa! Ebo. Wenzio wasaka maisha usilete dharau ati!!
ReplyDeleteWe mshamba wa bara hapo juu hao sio wadudu kama ujuavyo kwa ushamba wako,hao ni samaki tena wana bei kuliko hata senene unaowajua wewe.Tatizo lako hujui jinsi walivyo na waliwavyo.Kalaghabaho!!mtafute Ankal akufundishe
ReplyDeletehuyo anao ita hao samaki wadudu nadhani hawajuwi vizuri umuhim wake na thamani yao
ReplyDeletewananitia hamu sana kuona wadudu hawa.
ReplyDeletewewe mdau wa kuponda chakila eti hakiwezi kupita kinywani mwako na kuona ni mshamba kwani wewe unataka binadamu wale chakula gani?
ReplyDeleteKama umezooea kula nyani kula tu hio ni hamu yako sasa naona waache wanaotangaza biashara ya chakula chao. watu kama ninyi ndio mnazorotesha maendeleo ya kiafrika kwa kuweka veto, ndio maana maendeleo yetu yanakuwa finyo kwa ajili ya watu kama wewe.
Swain
Prawns/lobsters ni miongoni mwa vyakula vitamu na ghali sana, ni chakula maarufu miongoni mwa watu wa ulaya hasa Italy. Kwa wewe unaedai huwapendi labda ni kutokana na umbali wa masafa ulikozaliwa kutoka baharini wanakopatikana. Hata hivyo, nakushauri utembee upate kuosha macho.
ReplyDeletedhaahabu ya nyama >ukiwachoma hawa balaaa baba maana kuliko mshikaki ya ngombe
ReplyDeleteMate halinijaa mdomoni. Kwa nini sasa wa wenyeji Lindi na Mtwara maskini? Starter ya Prowns Hotelini hapa Dar Tshs > 20,000/ viumbe viwili tu ambayo ingejuwa ni Buku kama 5 Lindi. Ndiyo maana Rais wa China amekuja kukazia Uibia
ReplyDelete