Ankal,
Kumekuwa na malumbano ya lebo.
Binafsi nashangaa kwani sio tu zipo suti natunza lebo, ila najua kuna watu wanaweka suit juu na jeans, wengine suti bila tai, na lebo sio ushamba kwani tunajua viatu,saa, miwani, kofia, magari nk vyote vina lebo..na yote ni kusema napendelea designer fulani. Sio bei, ila kupendela kama perfume nk.
Niliwahi kuelea kuwa ukiagiza gari mpya na utake wasiweke lebo ya model, unalipa hela ya ziada. Binafsi niliona nishai (kubana matumizi) kulipa hela hiyo..nikaacha lebo.
Pasaka njema
Mdau wa Lebozzz
Mdau haelewi hata kidogo, pitia uliyoyaandika kabla hujapost. Hueleweki
ReplyDeleteKuacha lebo kwenye suti ni ushamba, hasa kama unajielewa na hutegemei ubongo wa mtu mwingine kukuambia lipi jema, lipi baya lipi ustaarabu. Ni suala la SELF AWARENESS.
ReplyDeleteKweli kabisa hamake sense.
ReplyDeletekweli haeleweki anasema nini
ReplyDeletehivi hicho kiswahili au lugha gan maana sijaelewa kitu kabisa
ReplyDeleteMawili- - Labda suit ya kukodisha,au nadhani ni utamaduni ya ndugu zetu wa kutaka kuwa tofauti tu, angalia hata wanaachaga lebo kwenye kofia mpya etc eti mjue ana vitu vikali
ReplyDeleteSuit na jeans pamoja kuna baridi bongo? Suit maana yake koti na suruali ama koti kizibao na suruali sasa uka piga na jeans hiyo ina kuwa madudu ya kutisha labda winter la ajabu kweli hata hivyo sija ona hiyo mix take a picture and show us
ReplyDeleteHivi hamna vya kuzungumza?
ReplyDelete