FRONT VIEW
FRONT VIEW_2
 BACK VIEW WITH WATER RESERVE TANKS
SITTING ROOM
 CEILING FANS
CORRIDOR
KITCHEN
  PUBLIC TOILET

   MASTER TOILET_WASHING BASIN
 MASTER TOILET

Nyumba inapangishwa, ipo Tabata Kimanga Uwanja wa Twiga. Ni ya vyumba vitatu, kimoja master, jiko na sebule. Iko sehemu nzuri, barabara nzuri hadi getini na gari inaingia mpaka ndani ya geti. Iko kwenye muinuko, hakuna mafuriko wala maji hayajai kwenye nyumba hata mvua inyeshe kwa masaa 24! Maji ya matumizi ya ndani yapo ya uhakika muda wote, kuna 'reserve water tanks' juu na chini ya nyumba, umeme ni wa uhakika pia. Inapangishwa na fanicha zake kwa bei nafuu. We unakuja na shuka na nguo zako tu.
UNAHITAJI? PIGA SIMU FASTA: +255 0754 290167


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. I will be in Tanzania for 3 months before I travel back to US,Is it possible to rent it for those 3 months? How much it will cost me? Email me info at juliomes@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. nyumba safi sana hiyo.Mbona bei haijawekwa.
    Ila du hiyo uliyoandika public toilet ni ya kupanua msamba. Miguu huwa inauma ukikaa muda mrefu halafu usimame utaona nyotanyota.

    Ni hayo tu

    Pimbi

    ReplyDelete
  3. Does a public toilet open to the public? What do you mean by 'public?'

    ReplyDelete
  4. Nafikiri "public toilet" aliyokusudia ni kwa wageni watakaokuja kumtembelea mpangaji. Mdau anayelalamika kuhusu kupasuka msamba, hicho ni choo cha kiTZ na pia cha Kiislamu. Vyoo vyote vimefata viwango vya kiislam na ni jambo zuri.

    ReplyDelete
  5. duh hukuweza weka choo cha kawaida jamani, hiyo inashusha sana thamani ya nyumba na kukimbiza wateja.

    ReplyDelete
  6. Huyo mtu hapokei simu wala hajibu text. Sasa kuna haja gani kuweka advertisement wakati huna uwezo wa kurespond!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...