“Kama zilivyo alama za mikono yetu, hakuna mtu anayefanana na wewe.  Umejaa vipaji lukuki ndani yako, tatizo huamini kama unaweza  na kwa sababu watu walikuambia hivyo,  ndiyo sababu hiyo watu wengi wamekufa bila kugundua walikuja duniani kufanya nini.
AMKA LEO, JIAMINI, TENDA UONE MAAJABU YA AKILI YAKO.”
ERIC SHIGONGO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa


  1. Well said bro Shigongo.

    Chef Issa

    ReplyDelete
  2. Shigongo, watu wamekuja duniani si kwa ajili ya kugundua vipaji vyao...tumekuja duniani ili tu kumuabudu MWENYEZI MUNGU.

    ReplyDelete
  3. Tumekuja duniani kumuabudu MOLA wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...