Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watoto ninyi wa Kizazi Kipya kaeni pembeni, hamtuwezi kabisaaaaa!
ReplyDeleteTumesha wafunga Mabao ya F.C LIBOLO mechi zote mbili ya Nyumbani(1-0) na Ugenini(4-0) zile (5-0) zenu mlizoringia zimesha chomolewa zooooote (1+4=5), kilichobaki ni kutukabidhi Kombe letu la Ushindi!
Si mmeona hadi Ankali harushi hewani kete zenu?
Sisi wa Zile za Enzi zile ni F.C LIBOLO na wa za Kisasa ni (Mnyama S.C)!
ReplyDeleteSasa hapo nani ni zaidi?
Enhhhh,
ReplyDeleteKwa kweli Mdau wa Kwanza hapo juu Mahesabu anajua kuyapiga!
Yaani Hesabu ime balance JAMAA WALIKUWA WANATAMBA NA (5-0) ZAO, LAIKINI KWA NGUVU ZA MWENYEZI F.C LIBOLO WAMESAWAZISHA KWA RAUNDI MBILI ZA MCHEZO WA NYUMBANI NA UGENINI:
TANZANNIA (1-0)
ANGOLA (4-0)
HIVYO KUWAKATA NGEBE GONGO WAZI MSIMBAZI MIBOLO (1+4=5)!!!
JUMLA MIBOLO MITANO (5) BILA (0)
SISI YANGA MUZIKI WA ZAMANI TUPO PEMBENI, MUZIKI WA KIZAZI KIPYA YAKIWAKUTA, SI MLILIKOROGA NA SASA MMELINYWA!
HAYA SASA MTASEMA NINI?