Ngoma ya DeBarge ya 'Rhythm Of The Night' nayo ilikuwa sooo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Watoto ninyi wa Kizazi Kipya kaeni pembeni, hamtuwezi kabisaaaaa!

    Tumesha wafunga Mabao ya F.C LIBOLO mechi zote mbili ya Nyumbani(1-0) na Ugenini(4-0) zile (5-0) zenu mlizoringia zimesha chomolewa zooooote (1+4=5), kilichobaki ni kutukabidhi Kombe letu la Ushindi!

    Si mmeona hadi Ankali harushi hewani kete zenu?

    ReplyDelete
  2. Sisi wa Zile za Enzi zile ni F.C LIBOLO na wa za Kisasa ni (Mnyama S.C)!

    Sasa hapo nani ni zaidi?

    ReplyDelete
  3. Enhhhh,

    Kwa kweli Mdau wa Kwanza hapo juu Mahesabu anajua kuyapiga!

    Yaani Hesabu ime balance JAMAA WALIKUWA WANATAMBA NA (5-0) ZAO, LAIKINI KWA NGUVU ZA MWENYEZI F.C LIBOLO WAMESAWAZISHA KWA RAUNDI MBILI ZA MCHEZO WA NYUMBANI NA UGENINI:

    TANZANNIA (1-0)
    ANGOLA (4-0)

    HIVYO KUWAKATA NGEBE GONGO WAZI MSIMBAZI MIBOLO (1+4=5)!!!

    JUMLA MIBOLO MITANO (5) BILA (0)

    SISI YANGA MUZIKI WA ZAMANI TUPO PEMBENI, MUZIKI WA KIZAZI KIPYA YAKIWAKUTA, SI MLILIKOROGA NA SASA MMELINYWA!

    HAYA SASA MTASEMA NINI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...