Rais Jakaya Kikwete akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam jana. Kushoto Bolozi wa Korea, Young-Hoon. Kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa.
 Rais Jakaya Kikwete akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Balozi wa Korea, Young-Hoon na kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa.
 Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Jengo la Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Veta Kipawa jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimwagilia maji mti baada ya kuzindua Chuo cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sijui kama hili litawafikia wahusika au kama una njia za kuwasiliana nao ni kwamba taasisi kubwa kama VETA pamoja na umuhimu wake wote katika kutoa mafunzo nchini Tanzania, tovuti yake (website) ni ya hali ya chini sana na inakosa taarifa muhimu. Tunawaomba wahusika kutatua tazizo hilo.

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Tanzania nashukuru sana kwamba ilishawahi kupanda miti mingi kwa staili kama hiyo sehemu nyingi tu nakuomba mwishoni mwa kumaliza wakati wako wa urais pitia maeneo yote uliyopata miti uone kama hiyo miti watakuonyesha ,kwani unapopanda wanakenua meno lkn hawafanyi kazi.. na kila mwaka watu wanapanda miti lkn ukiangalia hakuna sehemu watakayokuonyesha miti waliyoipanda miaka iliyopita ndio utajua nchi ilivyo kinafiki zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...