Mwanamuziki Madee akiimba sambamba
na umati wa wapenzi wa muziki wakati wa uzinduzi wa kinywaji baridi cha Coca-Cola
Zero uliofanyika Coco Beach Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki nyota wa THT Linah
(kulia), akicheza na mmoja wa mashabiki wake aliyepanda jukwaani wakati wa
uzinduzi wa kinywaji cha Coca-Cola Zero uliofanyika Coco Beach jijini Dar es
Salaam.
Ommy
Dimples akifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi wa kinywaji cha Coca-Cola Zero
katika ufukwe wa Coco
Tunakukarubusha kwenye tamasha la mama ntilie Yombo Dovya jumamosi aprili 13/2013 saa sita mchana.
ReplyDelete